Isaya 13:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200220 Hautakaliwa tena na watu hata kidogo, watu hawataishi humo katika vizazi vyote. Hakuna Mwarabu atakayesimamisha hema yake humo, wala muchungaji atakayechunga nyama wake humo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |