Hosea 8:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 Wanapenda kutoa sadaka za nyama, kwa kusudi la kula nyama yake; lakini mimi Yawe sipendezwi hata kidogo. Mimi ninayakumbuka makosa yao; nitawaazibu kwa ajili ya zambi zao; nitawarudisha katika utumwa kule Misri. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |