Hosea 4:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Watu wangu wameangamia kwa kutonijua, maana wewe kuhani umekataa mafundisho. Nimekukataa kuwa kuhani wangu. Kwa maana umeisahau sheria ya Mungu wako, nami vilevile nitawasahau watoto wako. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |