Hosea 10:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Efuraimu ni mwana-ngombe aliyefundishwa vizuri, akapenda kupepeta ngano. Lakini sasa shingo yake nzuri nitaifunga nira. Yuda atalima kwa jembe yeye mwenyewe, Yakobo atakokota jembe la kupalilia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |