Hesabu 8:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200221 Walawi wakajitakasa zambi na kufua nguo zao, naye Haruni akawatoa kama vile sadaka ya kutikiswa mbele ya Yawe. Vilevile, Haruni akafanya upatanisho kwa ajili yao kwa kuwatakasa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |