15 Kisha kuwatakasa Walawi na kuwatoa kama vile sadaka ya kutikiswa wataingia kwa kutumika katika hema la mukutano.
Vyote hivi utavipatia Haruni na wana wake nao wataviinua juu kuwa kitambulisho cha kunitolea sadaka mimi Yawe.
Sasa nimechagua Walawi kati ya Waisraeli wote, pahali pa kila muzaliwa wa kwanza mwanaume anayefungua tumbo la mama yake katika kila jamaa ya Israeli. Walawi ni wangu,
Halafu Haruni atawaweka hao mbele yangu kama sadaka ya kutikiswa kutoka kwa Waisraeli wanitumikie.
Kisha utawasimamisha Walawi mbele ya Haruni na wana wake na kuwaweka mbele yangu kama vile sadaka ya kutikiswa.
Hao wametolewa wakuwe wangu kabisa, pahali pa wazaliwa wa kwanza wa Waisraeli.