8 na Wamerari wakapewa magari mane na ngombe dume wanane kwa kuwasaidia katika kazi zao zote chini ya uongozi wa Itamari mwana wa kuhani Haruni.
Uwaambie vilevile wapeleke kutoka hapa magari ya kukokotwa ya kuwaleta watoto wao wachanga na wake zao. Wala wasikose kumuleta baba yao.