Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Hesabu 7:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Viongozi wa Israeli na wakubwa wa ukoo na viongozi wa makabila ambao walisimamia watu wale waliohesabiwa,

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Hesabu 7:2
11 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Basi, mufalme Solomono akawakusanya mbele yake kule Yerusalema wazee na viongozi wote wa makabila na wa ukoo za Waisraeli kusudi waliondoe Sanduku la Agano la Yawe katika muji wa Daudi, ni kusema Sayuni.


Nao wakubwa wake, kwa mapenzi yao, waliwapa watu, makuhani na Walawi. Hilkia, Zakaria na Yehieli, wasimamizi wa nyumba ya Mungu, waliwapa makuhani wana-kondoo na wana-mbuzi elfu mbili mia sita na ngombe dume mia tatu kwa ajili ya sadaka za Pasaka.


Viongozi walileta mawe ya rangi na mawe mengine kwa ajili ya kizibao na kifuko cha kifua.


Basi, Musa akawaambia Waisraeli kila kitu kama vile Yawe alivyomwamuru.


Musa na kuhani Eleazari wakapokea vitu vyote vilivyopambwa kwa zahabu.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ