Hesabu 7:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Siku Musa alipomaliza kusimamisha hema takatifu, akalimiminia mafuta na kulitakasa pamoja na vyombo vyake vyote. Akamiminia mazabahu mafuta na kuitakasa pamoja na vyombo vyake vyote. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |