Hesabu 6:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200221 Hiyo ndiyo sheria inayoelekea munaziri anayeahidi kwa kiapo. Sadaka yake kwa Yawe ilingane na kiapo chake, zaidi ya kitu chochote kingine anachoweza kutoa; atafanya kulingana na kiapo alichoweka, kadiri ya sheria ya kujitakasa kwake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |