Hesabu 5:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200215 basi wote wawili watakwenda kwa kuhani na kupeleka sadaka inayotakiwa, ni kusema sehemu ya kumi ya unga wa shayiri; lakini bila kuitia mafuta au ubani, kwa sababu ni sadaka ya vyakula ya mume anayekuwa na wivu kwa muke wake, kwa ukumbusho wa kosa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |