45 Hii ndiyo hesabu ya watu wa ukoo wa Merari ambao Musa na Haruni waliwahesabu kama vile Yawe alivyomwamuru Musa.
Vilevile, utawahesabu wana wa Merari, kufuatana na jamaa zao na ukoo zao.
ilikuwa watu elfu tatu na mia mbili.
Hivyo, Walawi wote waliohesabiwa na Musa, Haruni na viongozi wa watu, kwa kufuata jamaa zao na ukoo zao,