Hesabu 4:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200232 Vilevile watabeba nguzo za upango za kuzunguka pande zote, viikalio, misumari na kamba pamoja na vifaa vyake vyote na vyombo vyake vingine vyote. Nawe utawapangia kufuatana na majina yao vitu watakavyopaswa kubeba. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |