29 Vilevile, utawahesabu wana wa Merari, kufuatana na jamaa zao na ukoo zao.
Vielvile walihitajika kutunza nguzo za upango zilizouzunguka na vitako vyake, misumari na kamba zake.
Hii ndiyo kazi ya jamaa za Gersoni kwenye hema la mukutano; watafanya kazi chini ya uongozi wa Itamari mwana wa kuhani Haruni.
Utawahesabu wanaume wote wenye umri kati ya miaka makumi tatu na makumi tano, wanaofaa kujiunga kwa kazi ya hema la mukutano.
na Wamerari wakapewa magari mane na ngombe dume wanane kwa kuwasaidia katika kazi zao zote chini ya uongozi wa Itamari mwana wa kuhani Haruni.