Hesabu 4:27 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200227 Haruni na wana wake makuhani ndio watakaoamrisha kazi zote za Wagersoni juu ya vitu watakavyobeba na kazi watakazofanya. Utawapangia vitu vyote vile ambavyo wanapaswa kubeba. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |