Hesabu 4:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200220 Lakini wazao wa Kohati hawataingia kwa kutazama vitu hivyo vitakatifu sana wakifanya hivyo watakufa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Kisha Haruni na wana wake kufunika Pahali Patakatifu pamoja na vyombo na vifaa vyake vyote, wakiwa tayari kuanza safari, watu wa ukoo wa Kohati watakuja na kuvibeba. Lakini wao, hawaruhusiwi kabisa kugusa vyombo hivyo vitakatifu, kusudi wasikufe. Hiyo ndiyo kazi ya ukoo wa Kohati kila wakati hema la mukutano linapohamishwa.