17 Kisha Yawe akawaambia Musa na Haruni:
Eleazari mwana wa kuhani Haruni atatunza mafuta ya taa, ubani wa kufukiza, sadaka za vyakula za kila siku, mafuta ya kupakaa kwa kutakasa na kila kitu kilichotakaswa katika hema hilo.
Musiache ukoo wa jamaa za Kohati kati ya Walawi uangamizwe.