Hesabu 4:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 Eleazari mwana wa kuhani Haruni atatunza mafuta ya taa, ubani wa kufukiza, sadaka za vyakula za kila siku, mafuta ya kupakaa kwa kutakasa na kila kitu kilichotakaswa katika hema hilo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |