Hesabu 4:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Watatwaa vyombo vyote vinavyotumika katika Pahali Patakatifu, watavifunga kwa kitambaa cha rangi ya samawi na kuvifunika kwa ngozi laini ya mbuzi, kisha wataviweka juu ya miti yake ya kubebea. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |