Hesabu 36:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
3 Lakini wao wakiolewa na Waisraeli wa makabila mengine, urizi wao utatoka kwetu na kuwaendea watu wa kabila watakamoolewa; kwa hiyo urizi wetu sisi utapunguka.
Wakasema: Yawe alikuamuru kuwagawanyia watu wa Israeli inchi kwa kura kuwa urizi wao; alikuamuru vilevile uwape wabinti za Selofehadi ndugu yetu urizi wa baba yao.