9 Kutoka Mara, wakasafiri mpaka Elimu; huko Elimu kulikuwa na chemichemi kumi na mbili za maji na mingazi makumi saba, wakapiga kambi yao pahali pale.
Kisha Waisraeli wakafika kule Elimu ambako kulikuwa chemichemi kumi na mbili na mingazi makumi saba. Wakapiga kambi yao kule karibu na maji.
Wakasafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Nyekundu.