Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Hesabu 28:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

13 na kilo moja ya unga kwa kila mwana-kondoo. Sadaka hizi za kuteketezwa ni sadaka za chakula zenye harufu ya kumupendeza Yawe.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Hesabu 28:13
4 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Pamoja na mwana-kondoo wa kwanza, utatoa kilo moja ya unga laini uliochanganywa na litre moja ya mafuta safi, na litre moja ya divai kama sadaka ya kinywaji.


Wakati wa kutoa sadaka ya kondoo dume, kilo mbili za unga uliopondwa na litre moja na nusu ya mafuta vitatolewa kama sadaka ya vyakula,


Mutatoa sadaka ya vyakula ya unga laini kilo tatu, uliochanganywa na mafuta kwa kila ngombe dume mumoja; mutatoa kilo mbili za unga; kwa kila kondoo dume,


Kipimo cha sadaka ya kinywaji kinachohitajika ni litre mbili za divai kwa kila ngombe dume; litre moja na nusu kwa kila kondoo dume, na litre moja kwa kila mwana-kondoo. Hii ndiyo sadaka ya kuteketezwa ya kila mwezi katika mwaka muzima.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ