10 Na ikiwa hana ndugu mwanaume, basi urizi wake utawaendea baba zake wakubwa na wadogo.
Na ikiwa baba yake hana ndugu mwanaume, basi urizi wake utamwendea wandugu zake wa karibu, naye ataurizi kama vile mali yake. Hii itakuwa sharti na agizo kwa Waisraeli, kama vile mimi Yawe nilivyokuamuru.
Ikiwa hana binti, basi urizi huo utapewa kwa wandugu zake wanaume.