7 Hizo ndizo ukoo za kabila la Rubeni. Hesabu ya wanaume waliohesabiwa ni elfu makumi ine na tatu, mia saba na makumi tatu.
pamoja na wana wa Rubeni: Hanoki, Palu, Hesironi na Karmi.
jeshi lake kulingana na hesabu ni wanaume elfu makumi ine na sita na mia tano.
Kisha ule ugonjwa, Yawe akamwambia Musa na Eleazari mwana wa kuhani Haruni.
Kutoka kwa Peresi, jamaa ya Hesironi na Hamuli.
Hesironi na Karmi.
Wazao wa Palu walikuwa Eliabu,