57 Hizi ndizo ukoo za Walawi zilizohesabiwa na jamaa zao Gersoni, Kohati na Merari,
Lawi na wana wake: Gersoni, Kohati na Merari.
Lawi alikuwa na wana watatu: Gersoni, Kohati na Merari.
Eleazari mwana wa Haruni, alimwoa mumoja wa wabinti za Putieli, naye akamuzalia Finehasi. Hawa ndio waliokuwa wakubwa wa jamaa za Lawi.
Lakini Walawi hawakuhesabiwa pamoja na yale makabila mengine,
Lakini Walawi hawakuhesabiwa kati ya watu wa Israeli kama vile Yawe alivyomwamuru Musa.
Urizi wa kila kabila utagawanywa kwa kura, kila kabila litapata kulingana na ukubwa au udogo wake.
Uwahesabu wana wa Walawi wote kulingana na ukoo zao na jamaa zao, kila mwanaume kuanzia watoto wenye umri wa mwezi mumoja na zaidi.
Hawa ndio waliokuwa wana wa Lawi: Gersoni, Kohati na Merari.