34 Hizo ndizo ukoo za Manase, jumla wanaume elfu makumi tano na mbili mia saba.
na malaika ambaye aliniokoa katika mabaya yote, awabariki vijana hawa! Jina langu na majina ya babu zangu, Abrahamu na Isaka, yadumishwe katika vijana hawa; nao waongezeke kwa wingi katika dunia.”
Kabila la Efuraimu lilikuwa na jamaa za Sutela, Bekeri na Tahani.