32 Semida na Heferi.
Asirieli, Sekemu,
Selofehadi mwana wa Heferi hakupata watoto wanaume lakini wanawake tu, nao ni Mala, Noa, Hogula, Milka na Tirsa.
Wengine waliobaki wa kabila la Manase walipewa sehemu yao kwa kura kulingana na ukoo zao. Ukoo hizo zilikuwa zile za Abiezeri, Heleki, Asirieli, Sekemu, Heferi na Semida ambao wote walikuwa wazao wa kiume wa Manase mwana wa Yosefu.