26 Kabila la Zebuluni lilikuwa na jamaa za Seredi, wa Eloni na wa Yaleli.
Zebuluni na wana wake: Seredi, Eloni na Yaleli.