23 Kabila la Isakari lilikuwa na jamaa za Tola, Puva,
Isakari na wana wake: Tola, Puwa, Yasubu na Simuroni.
Isakari alikuwa na wana wane: Tola, Pua, Yasubu na Simuroni.
Wale watakaofuata kupiga kambi nyuma ya watu wa Yuda watakuwa kabila la Isakari. Kiongozi wao atakuwa Netaneli mwana wa Suari.
Yasubu na wa Simironi.