19 Kabila la Yuda lilikuwa na Eri na Onani. Hawa walikufia katika inchi ya Kanana.
Yuda na wana wake: Eri, Onani, Sela, Peresi na Zera. (Lakini Eri na Onani walikufa katika inchi ya Kanana). Wana wa Peresi walikuwa Hesironi na Hamuli.
Wana wa Yuda walikuwa: Peresi, Hesironi, Karmi, Huri na Sobali.