15 Kabila la Gadi lilikuwa na jamaa za Sefoni, Hagi, Suni,
Gadi na wana wake: Sifioni, Hagi, Suni, Esiboni, Eri, Arodi na Areli.
Kabila la Gadi lilikuwa na mupaka na kabila la Rubeni upande wa kaskazini, katika inchi ya Basani iliyoenea upande wa mashariki mpaka Saleka.
Halafu kabila la Gadi, kiongozi wao akiwa Eliasafu mwana wa Reueli,
Hizo ndizo ukoo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume elfu makumi mbili na mbili mia mbili.
Ozini, Eri,