13 Zera na Sauli.
Simeoni na wana wake: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Sauli, aliyezaliwa kwa mwanamuke Mukanana.
Kabila la Simeoni. Nemueli, Yamini, Yakini,
Hizo ndizo ukoo za kabila la Simeoni, jumla yao wanaume elfu makumi mbili na mbili mia mbili.
Akazileta karibu ukoo za Yuda, ukoo kwa ukoo; na ukoo wa Zera ukachaguliwa. Akazileta karibu jamaa za ukoo wa Zera, jamaa kwa jamaa; na jamaa ya Zabedi ikachaguliwa.