Hesabu 24:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Ninamwona atakayekuja, ninamwona, lakini hayuko karibu. Nyota itatokea kwa wazao wa Yakobo, atatokea mufalme kati ya Waisraeli. Kwa fimbo yake atapiga viongozi wa Wamoabu, atawaangamiza wazao wote wa Seti. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |