Hesabu 23:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Halafu Balamu akamwambia Balaki: Baki hapa karibu na sadaka yako ya kuteketezwa kwa moto, nami niende. Labda Yawe atakutana nami. Chochote atakachonionyesha nitakuja kukuambia. Basi, Balamu akaenda peke yake juu ya kilele cha mulima. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |