Hesabu 22:31 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200231 Hapo, Yawe akafungua macho ya Balamu, naye akamwona malaika wa Yawe amesimama katika njia, akishika upanga uliochomolewa toka kifuko chake. Balamu akajitupa uso mpaka chini. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |