26 Kisha malaika akatangulia tena, akasimama pahali pembamba pasipo na nafasi ya kupita kuume wala kushoto.
Ee Yawe umeinua mukono kwa kuwaazibu, lakini hawauoni. Uwaonyeshe namna unavyowapenda watu wako nao watapata haya. Moto unaowatayarishia waadui zako, uwateketeze!
Na watoto wake sitawahurumia, maana ni watoto wa uzinzi.
Punda alipomwona malaika huyo wa Yawe, akajibanisha kwenye ukuta na kubana muguu wa Balamu hapo. Kwa hiyo Balamu akamupiga tena huyo punda.
Punda alipomwona huyo malaika wa Yawe, akalala chini. Balamu akawaka hasira, akamupiga kwa fimbo yake.