Hesabu 22:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Basi, punda akamwona malaika huyo wa Yawe amesimama katika njia, akishika upanga uliochomolewa. Kwa hiyo akaacha njia, akaenda pembeni. Balamu akamupiga huyo punda, akamurudisha katika njia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |