Hesabu 22:22 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200222 Hasira ya Mungu ikawaka kwa sababu Balamu alikuwa anakwenda; hivyo malaika wa Yawe akakutana naye katika njia. Wakati huo Balamu alikuwa amepanda juu ya punda wake naye alisindikizwa na watumishi wake wawili. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |