Hesabu 21:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Yawe akasikia ombi lao, akawapa ushindi juu ya Wakanana. Waisraeli wakaangamiza kabisa Wakanana pamoja na miji yao. Kwa hiyo pahali pale pakaitwa Horma, ni kusema “Maangamizi”. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |