11 Kutoka kule wakasafiri mpaka Iye-Abarimu, katika jangwa upande wa mashariki wa Moabu.
Waisraeli wakaendelea na safari yao, wakapiga kambi kule Oboti.
Kutoka kule wakasafiri wakapiga kambi yao katika bonde la Zeredi.
Kutoka Punoni, wakapiga kambi yao Oboti.
Kutoka Oboti, wakapiga kambi yao Iye-Abarimu, katika eneo la Moabu.