10 Waisraeli wakaendelea na safari yao, wakapiga kambi kule Oboti.
Kutoka kule wakasafiri mpaka Iye-Abarimu, katika jangwa upande wa mashariki wa Moabu.