6 Jeshi lake kulingana na hesabu ni wanaume elfu makumi tano na ine na mia ine.
Wale watakaofuata kupiga kambi nyuma ya watu wa Yuda watakuwa kabila la Isakari. Kiongozi wao atakuwa Netaneli mwana wa Suari.
Kisha kabila la Zebuluni, kiongozi wao akiwa Eliabu mwana wa Heloni,
Hizo ndizo ukoo za Isakari, jumla wanaume elfu makumi sita na ine mia tatu.