5 Wale watakaofuata kupiga kambi nyuma ya watu wa Yuda watakuwa kabila la Isakari. Kiongozi wao atakuwa Netaneli mwana wa Suari.
Netaneli mwana wa Suari, alikuwa kiongozi wa jeshi la kabila la Isakari.
Jeshi lake kulingana na hesabu ni wanaume elfu makumi saba na ine na mia sita.
Jeshi lake kulingana na hesabu ni wanaume elfu makumi tano na ine na mia ine.