14 Halafu kabila la Gadi, kiongozi wao akiwa Eliasafu mwana wa Reueli,
Naye Eliasafu mwana wa Deueli, aliongoza kabila la Gadi.
jeshi lake kulingana na hesabu ni wanaume elfu makumi tano na tisa na mia tatu.
jeshi lake kulingana na hesabu ni wanaume elfu makumi ine na tano mia sita na makumi tano.