Hesabu 18:19 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200219 Ninakupa wewe, wana wako na wabinti zako, vitu vyote ambavyo watu wa Israeli wananitolea; hivyo ni haki yenu siku zote. Hili ni agano la milele mbele yangu ambalo ni kwa ajili yako na wazao wako. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |