Hesabu 18:18 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200218 Nyama yao unaweza kuikula, kama vile kilali na muguu wa nyuma wa kuume vinavyotolewa kama vile sadaka ya kutikiswa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Yule mupishi akaenda akaleta paja na sehemu ya nyama iliyokuwa upande wa juu wa paja hilo na kuviweka mbele ya Saulo. Halafu Samweli akamwambia Saulo: “Angalia kile ulichowekewa; sasa kimewekwa mbele yako. Sasa ukule kwa sababu kimewekwa kwa ajili yako kusudi upate kula pamoja na wageni.” Hivyo, Saulo akakula pamoja na Samweli siku hiyo.