Hesabu 18:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Lakini wazaliwa wa kwanza wa ngombe, kondoo au mbuzi wasikombolewe; hao ni watakatifu. Damu yao utainyunyizia mazabahu na mafuta yao utayateketeza kuwa sadaka ya kuteketezwa ambayo ni harufu nzuri inayonipendeza mimi Yawe. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |