24 Kisha Musa akatoa fimbo zote hapo mbele ya Yawe, akawaonyesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akatwaa fimbo yake.