18 na jina la Haruni uliandike juu ya fimbo inayosimamia kabila la Lawi. Kutakuwa fimbo moja kwa kila kiongozi wa kabila.