Hesabu 17:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Musa akamwambia Haruni: Twaa chetezo chako, utie moto ndani yake na kukiweka kando ya mazabahu, kisha utie ubani halafu uende nacho haraka kwa watu na kuwafanyia upatanisho. Fanya haraka! Kasirani ya Yawe imekwisha kuwafikia na pigo limeanza kuwashambulia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |